Image caption Nyoka aina ya chatu mwenye vichwa viwili Lilikuwa tukio la kushangaza na kusisimua mwili. Mnyama wa majini mwenye vichwa vingi kwa jina hydra aliyewaogpesha watu wengi alijitokeza mbele ya Heracles-mwana wa mungu wa Ugiriki Zeus. Lakini Heracles alikuwa na mpango mahsusi. Mapema aligundua kwamba hydra atamea kichwa chengine anapokatwa- hivyobasi akaamua kutafuta usaidizi kutoka kwa mpwa wake Lolaus. Ni wazi kwamba waligundua matokeo hayo yasio ya kawaida katoka miili yao. Wakati Heracles alipowavamia wanyama hao, mpwa wake Lolaus alijitokeza na kukata shingo zao na kuzuia vichwa vya mnyama huyo kumea upya Haki miliki ya picha LOUIS GARCIA Image caption Damu ya Hydra ilidaiwa kuwa hatari sana Wakati huo wote Mnyama Hydra alitoa sauti kali na kusongea huku damu yake na hewa aliyokua akitoa ikitishia kumuangamiza shujaa wa Ugiriki. Lakini Heracles alifanikiwa kukikata kichwa cha hayawani huyo. Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Image caption Mjusi aliye na vichwa vi...
Mnyama Mwenye Mdomo Mkubwa Kuliko Wote Duniani ni Kiboko. Kiboko ndiye mpaka sasa hivi anayeongoza duniani kwa kuwa na mdomo mkubwa. Pia anaongoza kwa kupanua mdomo anapopiga miayo. Mdomo wake unaweza kupanuka mpaka digrii 170 ambayo ni sawa na mstari ulionyooka ukipungua kwa digrii kumi (10) tu. Anakimbia kwa wastani wa kilomita 19 kwa saa akiwa nchi kavu Anaishi miaka 40 -50 Dume lina uzito wa ratili 3,300 – 4,000 Jike lina uzito wa ratili 2,900 – 3,300 Mnyama huyu anapatikana sehemu Ngorongoro, Ruaha, na sehemu zingine za Afrika. Kiboko anaishi majini na Nchi kavu. Muda mwingi majini na nyakati za jioni anatoka kwenda kutafuta malisho. Kiboko muda mwingi anapenda kukaa kipweke na kiboko wa kiume ni mzito kuliko wa kike. Kiboko anaweza kufikia tani 2-3 na kumfanya kuwa mnyama wa nchi kavu wa tatu kwa uzito duniani baada ya Tembo na Kifaru. Kiboko pia ni mnyama wa nchi kavu wa pili duniani kwa ukubwa baada ya Tembo. Kiboko anakula tu majani na hivyo kuwa sawa na N...
Unaweza pata kwa Shs 5,000 tu Inapata chagi ndani ya dakika tatu In TV, Radio, interneti, tochi, kamera, screen za kushika, yaani touch screen, kata kucha, kiwashio cha sigara, opener nk Unaweza kuandika kwa kutumia vijiti Makosa madogomadogo kama NokLa, blackderry, i-porn, samswag nk Ndege ikipita inasema “one missed call”. Lori likipita inaonyesha “charger connected”. Mchina akipita inaonyesha “one Bluetooth device found”. Ni disposable, ikiharibika haitenngenezeki, ni ya kutupa tu Zinapatikana karibu kwa sura zote yaani unaweza kupata Iphone, Samsung, nokia, sony, HTC nk
Comments
Post a Comment