ALIMUOMBA UCHUMBA MWANAE KIMAKOSA
Mzee Kofi Asilenu wa Ghana, ana zaidi ya watoto 100. Wakati mmoja alishawahi kumuomba uchumba mmoja wa mabinti zake kimakosa.
Hii imekaaje?
SOME COMMENTS
Hii imekaaje?
SOME COMMENTS
Ndemanyafo Valentine List
ndogo sana!!Pga kaz mzee yai lnafaa kukaanga we kaanga 2 uwezo c
upo!!!!Nam nasema e nenden dunian mkaijaze dunia!!Kuna nn tena aje na tz
wale mashoboko waunganshiwe mb za jaza ujazwe!!
Hassan P Kingstone Hicho
ndicho kidume na sio hawa wabongo wanaoshinda kwa waganga ili wapewe
dawa za kuongeza nguv.. Ukipata chance wewe fyatua tu suala la
kumtongoza binti yake kimakosa hilo lisiwe sababu ya kutuuliza maswali.
Kila mja kajaaliwa makosa yake na kukosea ni jambo la kawaida.. Big up
dingiiii.
Hakizimana Fardjallah Wenzenu
Tunashindwa Hata Kutongoza Hali Ya Maisha Inazidi Kuwa Tete Mno, Mimi
Pekee Nimeshindwa Kujihifadhi Na Mahitaji Yangu Leo Kupata Chakula
Shidaaaaa Halafu Uniletee Mambo Ya Kisenge Eti Kuoa Anae Hitaji Kuolewa
Anipe Pesa Nimuowe, Jamani Huyo Mzee
Msimlaumu Amezaliwa Wakati Mzuri Chakula Kipo Sio Hizi Karne Zetu Za
Watawala Vijana Hatuna Pakukimbilia, Hii Sasa Kali Wazee Walikuwa
Wakiwakataza Watoto Zao Eti Wasinywe Maji Wanywe Maziwa Leo Watoto
Wanapigwa Viboko Eti Wanywe Maji Sana Eti Nimazuri!!! Jamani Hii Dunia
Inamengi Matatizo Somtime Afadhali Kifo
Siri Mkoba HICHO SIO KIZAZI NI MASHINE YA PHOTOCOPY ANGEKUWA TZ KWA MAISHA YA SASA ANGETAMANI AWAPANGE SOKONI KAMA NYANYA
Comments
Post a Comment