Vituko 10 vya Simu za Kichina

Tokeo la picha la slide up phone



  1. Unaweza pata kwa Shs 5,000 tu
  2. Inapata chagi ndani ya dakika tatu
  3. In TV, Radio, interneti, tochi, kamera, screen za kushika, yaani touch screen, kata kucha, kiwashio cha sigara, opener nk
  4. Unaweza kuandika kwa kutumia vijiti
  5. Makosa madogomadogo kama NokLa, blackderry, i-porn, samswag nk
  6. Ndege ikipita inasema  “one missed call”.
  7. Lori likipita inaonyesha “charger connected”.
  8. Mchina akipita inaonyesha “one Bluetooth device found”.
  9. Ni disposable, ikiharibika haitenngenezeki, ni ya kutupa tu
  10. Zinapatikana karibu kwa sura zote yaani unaweza kupata Iphone, Samsung, nokia, sony, HTC nk


Comments

Popular posts from this blog

Viumbe wenye vichwa viwili

Kiboko – Mnyama Mwenye Mdomo Mkubwa Kuliko Wote Duniani