Vituko 10 vya Simu za Kichina
Unaweza pata kwa Shs 5,000 tu Inapata chagi ndani ya dakika tatu In TV, Radio, interneti, tochi, kamera, screen za kushika, yaani touch screen, kata kucha, kiwashio cha sigara, opener nk Unaweza kuandika kwa kutumia vijiti Makosa madogomadogo kama NokLa, blackderry, i-porn, samswag nk Ndege ikipita inasema “one missed call”. Lori likipita inaonyesha “charger connected”. Mchina akipita inaonyesha “one Bluetooth device found”. Ni disposable, ikiharibika haitenngenezeki, ni ya kutupa tu Zinapatikana karibu kwa sura zote yaani unaweza kupata Iphone, Samsung, nokia, sony, HTC nk

Comments
Post a Comment