MAFUNDI KAZINI

#PICHA Mafundi wakibomoa lami ya zamani katika sehemu zilizoharibika eneo la Segerea, jijini Dar es Salaam ili kuweka viraka. Barabara hiyo imekuwa ikiwekwa viraka kila mwaka.

                                                          
                                                                  SOME COMMENTS

       Abdi Burton Na hii barabara ya bugurun mnyaman hadi vingunguti ni shida viraka vimechakaa weka kokoto mipande ukiwa kwny mnanesa nesa + jasho ukifika sfr upo hoi.

 Felix Mbekenga Huu mchezo huwa simuelewi kwa nini watu wanajenga below standard na ndo huwa wanawin tenda ya ujenzi wa barabara, hata kama ni kilomita moja, Hii barabara ya segerea inasifia kwa huu mchezo Wa vilaka


Micheal King Hao viongozi wahapo wala rushwa tu rami gani unaweka hata mwaka mmoja haufiki hafu pesa wanapewa hawatakiwi kuwepo madarakani
 · Reply · 2 hrs




                                                                  

Comments

Popular posts from this blog

Viumbe wenye vichwa viwili

Kiboko – Mnyama Mwenye Mdomo Mkubwa Kuliko Wote Duniani

Vituko 10 vya Simu za Kichina