GARI LILILOTENGENEZWA NA M-TZ

#PICHA Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary, wakitazama gari lililotengenezwa na Adam Zachariah Kinyekie, wakati alipowasili kwenye uwanja wa Shule ya Misngi ya Mwaka katika mji Mdogo wa Tunduma kuhutubia mkutano wa hadhara juzi.
                                           

                                       SOME COMMENTS
 Adam Zakaria, unaturudisha nyuma sana kwa Adam mwenzako na hakuna kipya ulichotuongezea kwenye teknolojia ya magari kwa kizazi hiki tulipo. Wenzako washamaliza hadi magari yanayopaa hewani na mengine yanayotumia umeme, maji na mwanga wa jua n.k. Unatuchanganya na hilo dude Coz sio garI


 Mam Lincoln----> Ebu serikali iwasaidie awa watu wajifunze zaid jmn dunia ya sasa ivi imekua kitechnology ubunifu mda mwingine uendane n ukuaj wa technologia sasa hilo Gari kama machine y kusagia unga dunia y ss jmn

 George Alfred------> mwaka huu wachina wametoka kuzindua ndege yao ya kwanza ambayo spea zake nyingi zimetoka Canada hadi ndege ikakamilika,Korea kas ilijitahidi kutengeneza makombora ya masafa marefu kwa muda mrefu ikishindwa sasa wanayarusha tu,kwa hiyo serikali ikiamua kuchukua mawazo ya watu hawa hata miaka 10 haifiki Tanzania tunatengeneza magari yetu.





Comments

Popular posts from this blog

Viumbe wenye vichwa viwili

Kiboko – Mnyama Mwenye Mdomo Mkubwa Kuliko Wote Duniani

Vituko 10 vya Simu za Kichina