Barack Obama na Waziri Mkuu wa Thailand Yingluck ShinawatraHofu ya Michelle pia ipo kwa huyu Waziri mkuu mrembo kuliko digitaries wote wa kike duniani ambaye inaonyesha wazi kuwa anampenda Obama
Ndoa ya Michelle na Barack Obama yaweza kuvunjika kwa talaka kutokana na mapito magumu ambayo ndoa hiyo ilipitia na bado inaendelea kupitia.
Michelle Obama amechoshwa na ndoa yake na Obama. Kutokana na ripoti iliyotolewa na Bombshel , Michelle na Obama wamekuwa wakilala vyumba tofauti ndani ya Ikulu (White house).  Michelle pia anajiandaa kuhama katika jumba lao pale Chicago ambalo wameishi  wakati wa uchumba wao miaka 21 iliyopita na kwa msisitizo watajadili juu ya talaka.
Tatizo limeanza miaka nane iliyopita pale Obama alipodhamiria kujijenga kisasa. Ni mtoto wao Sasha ambaye anumwa ugonjwa unaosababishwa na woga wa maisha unaoitwa Spinal Meningitis ndio uliowafanya waendelee kuwa pamoja.
Kitabu cha Anderson kinaelezea ndoa ya Michelle na Obama kama ndoa halisi ya Wamarekani ikielezea tatizo lilivyoanza baada ya Barack Obama kuamua kuingia kwenye siasa. Alisikika Mitchel, 48 mara kadhaa akimwambia mume wake “Wewe unajifikiria mwenyewe tu”
Naye Barack Obama amesikika akisema:
“Sikuwahi kufikiri kamwe kwamba ningelea familia mwenyewe siku moja”
Anderson anadai kuwa Obama amechoshwa na malalamishi ya mke wake
“Nampenda sana Michelle lakini ananiumiza na ubishi wake wa kila mara” Barack Obama alisikika akiongea hivyo na bibi yake Madelyn Dunham
“Anaonekana tu mwingi wa machungu, na hasira siku zote”
Anderson pia anafunua siri ya ugonjwa wa moyo ambayo Mitchel alikuwa nayo kabla hajajifungua mtoto wao wa kwanza. Akizungumza na CBS Anderson anadai kuwa ilikuwanusura Michelle atembee nje ya ndoa kwa sababu ya upweke.
Kipindi cha useneta wa Barack Obama kilikuwa ni kipindi kigumu na cha giza nene kwenye ndoa yao.
Kwa miaka mitano wamekuwa na wasiwasi juu ya uwezo wao wa kupata watoto kabla Malia hajazaliwa. Walishajadili sana suala la kuridhi watoto (adoption) na marafiki zake wa karibu lakini kwa bahati nzuri Malia akazaliwa mwaka 1998 na kuondoa wazo hilo.
Wanandoa hawa wamekuwa wakipitia katika mapito magumu ya ndoa yao na wamekuwa pamoja tu kwa sababu ya mtoto wao na itifaki ya kisiasa.
Mwandishi huyo anadai Barack Obama na Mke wake Michelle ambao wanaenda kusheherekea miaka 17 ya ndoa yao mwezi ujao wa January 2014 kuwa ndoa yao iko imara kwa sasa.
Lakini vyanzo vingine vya  zinadai kuwa ndoa haiko imara, hasa baada ya tukio la Obama kupiga picha za pamoja bila aibu na Waziri Mkuu wa Denmark, 46 kwa jina Helle Thorning-Schmidt wakati wa huduma yakumuaga aliyekuwa rais wa kwanza wa Afrka ya Kusini, Bwana Neslon Madiba Mandela. Obama, 52 alikuwa akicheka na  kumnong’oneza kitu waziri huyo mara kwa mara kwa muda wote kwenye sherehe hiyo maalumu kwa viongozi wa dunia huku Michelle akiwa pembeni yake amenuna tu. Tazama picha hapa chini kwa maelezo zaidi:
Mara nyingi alikuwa akimshika shika mabega yake na kumuudhi zaidi na zaidi Michelle.
“Lakini kwa sasa Michelle ni kichaa kama jehanamu, anajiona kanyanyasika na kuaibishwa mbele ya dunia kwani picha hizo zilirushwa duniani kote kwenye kupitia televisheni, magazeti na mitandao mbalimbali. Alisikika akimtapikiaObama huku akisema “Nimechoshwa” “Alikutana na mwanasheria wake wa talaka na kasha mwambia Obama kuwa anataka kuishi maisha mbali na yeye. Michelle amekusudia kubaki whitehouse mpaka Obama amalize muhula wake uliobakia kwa ajili ya maonyesho tu lakini ameweka wazi kuwa kila mtu ataishi maisha yake mwenyewe baada ya muhula huo wa white house kuisha.
Msemaji wa ndani ya ikulu anaendelea kusema kuwa Barack Obama amechoshwa sana na mpango wa afya wa hivi karibuni ulioleta mvutano ndani ya  la senet la Marekani na sasa anakutana na tatizo jingine kubwa zaidi la Michelle juu ya ndoa yake.
“ Michelle kwa upande wake anafanya mpango wa kuhamia kwenye mojawapo ya vyumba tupu kwenye nyumba yao ya kifamilia ya binafsi na anajiandaa kuamisha nguo zake nje ya jumba lao hilo la mamilioni ya dola lililoko Chicago
Pia tatizo limekuzwa na safari ya kikazi ya Obama hivi karibuni kule Thailand ambayo ilimkutanisha na Waziri Mkuu mrembo kuliko pengine wote duniani , Yingluck Shinawatra picha zake ziko hapo chini ambaye anasadikiwa kuwa anampenda Obama.

Comments

Popular posts from this blog

Viumbe wenye vichwa viwili

Kiboko – Mnyama Mwenye Mdomo Mkubwa Kuliko Wote Duniani

Vituko 10 vya Simu za Kichina